OpenStreetMap logo OpenStreetMap

Diary Entries in Swahili

Recent diary entries

Posted by Msilikale05 on 13 August 2011 in Swahili (Kiswahili).

nilienda kuangalia matumizi ya ardhi katika mtaa wa Muhalitani ambapo nilikuwa na angalia maeneo ya sokoni wakati naangalia vichochoro vya maeneo hayo. Baada ya kutoka Site, ndo nikaanza kutrace Majengo pamoja na vichochoro hivyo kwenye talakilishi nikitumia proglam ya OpenStreetMap.

Location: Sokoni, Tandale, Kinondoni Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania