ANDREW BIGAMBO
Опубліковано учасником IRDPYouthMapper11 21 Листопада 2017, мова: Swahili (Kiswahili)NAWAKARIBISHA SANA KATIKA CLABU YETU HII YA RAMANI, UTUSAIDIA SANA BILA KUBAGUA KUWA UMESOMA RAMANI AU HUJASOMA, INATUWEKA KARIBU WATU WA AINA ZOTE NA KUTUSAIDIA KUONGEZA MARAFIKI DUNIANI KOTE KULINGANA NA MAHITAJI YAKO KIUCHUMI, KIJAMII, KISIASA. KARIBUNI SANA.
Обговорення
Коментар від IRDPYouthMapper6, 21 Листопада 2017 в 16:14
ASANTEEE