kutrace majengo.
Δημοσιεύτηκε από τον/την Msilikale05 στις 13 Αύγουστος 2011 στα Swahili (Kiswahili).nilienda kuangalia matumizi ya ardhi katika mtaa wa Muhalitani ambapo nilikuwa na angalia maeneo ya sokoni wakati naangalia vichochoro vya maeneo hayo. Baada ya kutoka Site, ndo nikaanza kutrace Majengo pamoja na vichochoro hivyo kwenye talakilishi nikitumia proglam ya OpenStreetMap.
Συζήτηση