OpenStreetMap 로고 OpenStreetMap

Editing.

jonston weston님이 English로 2011년 8월 23일에 게시함.

Kazi kubwa ilikuwa ni kuingiza data kwenye ramani. imenichukua muda nfupi sana kuingiza hizo data ila zoezi lililokuwa gumu kwangu ni kutofautisha matumizi ya ardhi katika makazi ya muhalitani.
Kwa sasa kazi inaonekana kumalizika kwani sehemu kubwa ya muhalitani imeishaingizwa kwenye ramani. tunawashukuru watu wote walioshiriki au wanaoshiriki kukamilisha zoezi hili.

위치: Muhalitani, Tandale, Kinondoni Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 14129, Tanzania
이메일 아이콘 Bluesky 아이콘 Facebook 아이콘 LinkedIn 아이콘 마스토돈 아이콘 텔레그램 아이콘 X 아이콘

토론

댓글을 남기려면 로그인하세요