Лого на OpenStreetMap OpenStreetMap

Дневник на IRDPYouthMapper11

Последни публикации в дневника

ANDREW BIGAMBO

Написано от IRDPYouthMapper11 на 21 ноември 2017 на Swahili (Kiswahili).

NAWAKARIBISHA SANA KATIKA CLABU YETU HII YA RAMANI, UTUSAIDIA SANA BILA KUBAGUA KUWA UMESOMA RAMANI AU HUJASOMA, INATUWEKA KARIBU WATU WA AINA ZOTE NA KUTUSAIDIA KUONGEZA MARAFIKI DUNIANI KOTE KULINGANA NA MAHITAJI YAKO KIUCHUMI, KIJAMII, KISIASA. KARIBUNI SANA.

Местоположение: Dodoma, Dodoma City, Mkoa wa Dodoma, Central Zone, Tanzania