لوگوی OpenStreetMap اوپن‌استریت‌مپ

روزنوشت‌های IRDPYouthMapper11

روزنوشت‌های اخیر

ANDREW BIGAMBO

ارسالی از IRDPYouthMapper11 در 21 نوامبر 2017 به Swahili (Kiswahili).

NAWAKARIBISHA SANA KATIKA CLABU YETU HII YA RAMANI, UTUSAIDIA SANA BILA KUBAGUA KUWA UMESOMA RAMANI AU HUJASOMA, INATUWEKA KARIBU WATU WA AINA ZOTE NA KUTUSAIDIA KUONGEZA MARAFIKI DUNIANI KOTE KULINGANA NA MAHITAJI YAKO KIUCHUMI, KIJAMII, KISIASA. KARIBUNI SANA.

مکان: Dodoma, Dodoma City, Mkoa wa Dodoma, Central Zone, Tanzania