ตราสัญลักษณ์ OpenStreetMap OpenStreetMap

บันทึกของ IRDPYouthMapper11

รายการบันทึกล่าสุด

ANDREW BIGAMBO

โพสต์โดย IRDPYouthMapper11 เมื่อ 21 พฤศจิกายน 2017 ในภาษา Swahili (Kiswahili)

NAWAKARIBISHA SANA KATIKA CLABU YETU HII YA RAMANI, UTUSAIDIA SANA BILA KUBAGUA KUWA UMESOMA RAMANI AU HUJASOMA, INATUWEKA KARIBU WATU WA AINA ZOTE NA KUTUSAIDIA KUONGEZA MARAFIKI DUNIANI KOTE KULINGANA NA MAHITAJI YAKO KIUCHUMI, KIJAMII, KISIASA. KARIBUNI SANA.

ที่ตั้ง: Dodoma, Dodoma City, Mkoa wa Dodoma, Central Zone, Tanzania