Kuchukua njia na Point.
Δημοσιεύτηκε από τον/την Msilikale05 στις 16 Αύγουστος 2011 στα Swahili (Kiswahili).Leo tuligawanyishwa katika magroup na si tulienda kuchukua njia za mtaa wa Kwa tumbo ambapo tulikuwa tukitumia GPS wakati tukitembea na GPS ilikuwa inajichora. Pia tulikuwa tunachukua point za muhimu kama Maduka, Shule, Matenki ya Maji, Bar, Shule za kiislam, n.k.
Tulipoludi kutoka Site, tukazidownload izo data na kuanza kuzitumia tukitrace kwenye ramani.
Συζήτηση