KUINGIZA FEATURES KATIKA RAMANI
Postavljeno od REGINALD u 17 august 2011 na jeziku: Swahili (Kiswahili)Shughuli kubwa hii leo ilikua ni kutresi nyumba na footpats ktk eneo la Muhalitani. njia zimeingizwa kwa umakini pamoja na baadhi ya majengo kama Msikiti na makazi ya watu.
Discussion