KUINGIZA FEATURES KATIKA RAMANI
Δημοσιεύτηκε από τον/την REGINALD στις 17 Αύγουστος 2011 στα Swahili (Kiswahili).Shughuli kubwa hii leo ilikua ni kutresi nyumba na footpats ktk eneo la Muhalitani. njia zimeingizwa kwa umakini pamoja na baadhi ya majengo kama Msikiti na makazi ya watu.
Συζήτηση