KUINGIZA FEATURES KATIKA RAMANI
Käyttäjä REGINALD kirjotti tämän 17. Augusta 2011 kielellä Swahili (Kiswahili)Shughuli kubwa hii leo ilikua ni kutresi nyumba na footpats ktk eneo la Muhalitani. njia zimeingizwa kwa umakini pamoja na baadhi ya majengo kama Msikiti na makazi ya watu.
Discussion