KUINGIZA FEATURES KATIKA RAMANI
Publicado por REGINALD o 17 de Agosto de 2011 en Swahili (Kiswahili).Shughuli kubwa hii leo ilikua ni kutresi nyumba na footpats ktk eneo la Muhalitani. njia zimeingizwa kwa umakini pamoja na baadhi ya majengo kama Msikiti na makazi ya watu.
Parola