KUINGIZA FEATURES KATIKA RAMANI
Опубліковано учасником REGINALD 17 Серпня 2011, мова: Swahili (Kiswahili)Shughuli kubwa hii leo ilikua ni kutresi nyumba na footpats ktk eneo la Muhalitani. njia zimeingizwa kwa umakini pamoja na baadhi ya majengo kama Msikiti na makazi ya watu.
Обговорення