KUINGIZA FEATURES KATIKA RAMANI
REGINALD erabiltzaileak 17 Abuztua 2011 datan argitaratua Swahili (Kiswahili) hizkuntzanShughuli kubwa hii leo ilikua ni kutresi nyumba na footpats ktk eneo la Muhalitani. njia zimeingizwa kwa umakini pamoja na baadhi ya majengo kama Msikiti na makazi ya watu.
Eztabaida