kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
نُشِر بواسطة REGINALD في 22 أغسطس 2011 باللغة Swahili (Kiswahili)Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
مناقشة