kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
Postuar nga REGINALD më 22 Gusht 2011 në Swahili (Kiswahili)Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Discussion