kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
Käyttäjä REGINALD kirjotti tämän 22. Augusta 2011 kielellä Swahili (Kiswahili)Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Discussion