kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
ߊ߬ ߟߊߦߟߍ߬ߣߍ߲߬ ߦߋ߫ REGINALD ߓߟߏ߫ 22 August 2011 ߦߋ߫ Swahili (Kiswahili) ߟߋ߬ ߘߐ߫Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Discussion