kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
REGINALD が 2011年8月22日 に投稿 (Swahili (Kiswahili)) 。Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
議論