kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
Ipinaskil ni REGINALD noong 22 Agosto 2011 na nasa Swahili (Kiswahili)Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Discussion