kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
REGINALD님이 Swahili (Kiswahili)로 2011년 8월 22일에 게시함.Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
토론