kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
Swahili (Kiswahili) телендә REGINALD22 August 2011 баҫылып сыҡты.Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Фекер алышыу