kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
Опубліковано учасником REGINALD 22 Серпня 2011, мова: Swahili (Kiswahili)Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Обговорення