kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
Do REGINALD đăng vào 22 tháng 08 năm 2011 bằng Swahili (Kiswahili).Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Thảo luận