kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
โพสต์โดย REGINALD เมื่อ 22 สิงหาคม 2011 ในภาษา Swahili (Kiswahili)Kazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
การอภิปราย