kuingiza taarifa zilizokosekana Katika ramani.(Muhalitani -Tandale)
REGINALD erabiltzaileak 22 Abuztua 2011 datan argitaratua Swahili (Kiswahili) hizkuntzanKazi kubbwa ilikua ni kukusanya taarifa kwa GPS kisha kuziingiza taarifa zilizokosekana (missed informations) Katika ramani inayoandaliwa ya tandale ndani ya mtaa wa Muhalitani. taarifa zenyewe ni kama VYOO, (TOILETS), Maduka (shops and phermacies), vinjia vidogo vidogo (Footpaths), na taarifa muhimu nyinginezo.
Eztabaida